@cleansheet_1 Hii hoja na ona kama hoja mfu make ukiongelea cape Verde unapaswa kujua hao wacheazji wao wanacheza ligi zipo huko ulaya au Kuna mchezaji hata Mmoja anayecheza ligi ya ndani ??? Cape Verde ya Sasa ni kama Madagascar tu , kikosi kizima Kiko ufaransa Kwa nini wasifanye vizuri??
@cleansheet_1 Nani aliyepabdikiza chuki kama siyo wao uto?? Au hukuoja na kusikia maneno machafu ya wavulana walisajiliwa utopolo na baadhi ya mashabiki ??? Ubaya ubwela tu
@RevocatusMagum1 Malipo ni apa apa Tena alitajiwa afariki ili tuone kama hayo maneno ya dhalau za wachambuzi na machawa wa utopolo wataendelea kuwa na hayo maneno , hata wiki haijaisha tumeona majibu
@Iamfelixtz Vipi mbona sisikii maneno ya kejeri kama nilivyokuwa nasikia wakati wacheazji wa simba walipokuwa wanafanyiwa faulo wapumbavu wenye uyangayanga walivyokuwa wanalopoka utadhani wacheazji wao wanachezea mbinguni
@derc2323 Wewe fala tu ni nani anayefurahiaga rafi wanazochewa wacheazji wa simba kama siyo utopolo mara ngapi hao wavulana wenu wanaposti vijembe Leo kachezewa YESU pumbavu sana juzi tu apa msemajinwa simba aliongelea namna wacheazji wa singida walivyokuwa wanacheza hovyo mlisemaje ?