Yule mtu aliyekua anaondoka Alfajiri na anarudi usiku na akifika hataki kelele zozote ndani, Leo zamu yake imeisha, Wewe Ndio Umekua mwenye hilo jukumu sasa.
3. Magonjwa Yanayowaathiri Zaidi Wenye Damu O
Sasa tusonge upande wa pili wa sarafu. Watu wenye kundi la damu O si malaika wasioguswa na magonjwa! Kuna hatari wanazokumbana nazo pia:
➡Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers):
Utafiti unaonyesha kuwa watu wenye damu ya kundi O wana uwezekano mkubwa wa kupata vidonda vya tumbo vinavyosababishwa na bakteria aitwaye Helicobacter pylori.
Bakteria huyu anapopata mazingira mazuri tumboni, husababisha vidonda ambavyo huleta maumivu makali na shida za mmeng’enyo wa chakula.
➡ Matatizo ya Kupoteza Damu (Bleeding Disorders):
Kwa sababu damu ya kundi O haishikani haraka, watu hawa wanaweza kuvuja damu kwa muda mrefu zaidi wakipata jeraha au kufanyiwa upasuaji.
Hii ni hatari hasa kwa wanawake wenye hedhi nzito au kwa watu wanaofanyiwa upasuaji mkubwa.
➡ Maambukizi ya Bakteria na Virusi:
Ingawa wanapata kinga dhidi ya baadhi ya magonjwa, bado wako kwenye hatari ya kushambuliwa na maambukizi fulani ya bakteria na virusi.
Kwa hiyo, wale wanaosema “Mimi nina group O, magonjwa hayanipati” – jaribu tena!.
Uzi bado mbichi....👇
JINSI YA KUJIHESHIMU MWENYEWE 2025
1. Ukinyimwa msaada, usijenge chuki. Kila mtu ana sababu zake, na huwezi kujua hali yao. Endelea mbele bila kinyongo.
2. Usiende kwa watu bila taarifa. Heshimu muda na mipango ya wengine kwa kuwapa taarifa mapema.
3. Usichangie mada anaposemwa mtu. Jiheshimu kwa kukaa kimya unaposhuhudia majungu. Usihusike katika kuharibu jina la mtu mwingine.
4. Hata ukialikwa kwenye meza ya bure, kula kile unachoweza kumudu kununua. Hii inaonyesha heshima na unyenyekevu.
5. Kubali kuwa huwezi kupendwa na kila mtu. Hili ni jambo la kawaida maishani. Wewe zingatia maisha yako na wale wanaokujali tu
Jinsi ya kuiomba kistaarabu..
Leo nilikuwa off, nikasema ngoja nisome DMs.
Zilikuwa kibao—like 50K! So nikajipanga na popcorn & juice, I mean, I’m off duty.
I must admit..
Hapa X kuna great dudes na ndulele.
Of course! Mimefilter...🤏
Soma zaidi:👇👇
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu na pia nitumie furusa hii kuwakaribisha Wanangu, ndugu zangu na wanajamii wote wa humu Twitter (X) kwenye Duka langu la THE MANDEVU STORE linalopatikana Mabibo Mwembeni. Nimatumaini yangu Wanangu mtanishika Mkono as we always do, karibuni sana The Mandevu Store "Home Of Quality" nawaahidi hamtojutia. Ahsanteni sana.
Wahudumu wa afya huwa sio waoga wa matokeo ya matibabu.
Ila linapokuja swala la Antibiotic Resistance, nafikiri kila muhudumu kichwa huwa kinawaka moto sana.
Tusitumie dawa holela
Makosa (5) makubwa ya kuepuka kwenye usaili wa kazi:
- Usaili wa kazi ni hatua muhimu katika mchakato wa kuajiri, kwani huwapa wasailiwa fursa ya kuonyesha ujuzi na sifa zao.
Ingawa, bila kujijua, watu wengi hufanya makosa ambayo yanaweza kuzuia nafasi zao za kupata kazi.
Ifaham vizuri menstrual cycle ya mwanamke kujua
1.zipi siku salama,
2.kujua sku gani utapata mtoto wa kike
3.Siku gani utapata mtoto wa kiume,
4.Siku gani za hatari
5.Siku gani mwanamke anakua na ham ya mapenzi sanaa.
Thread(uzi) 👇