Biashara United ni timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara (TPL), Makao Makuu ya klabu hii yapo Mkendo Mjini Musoma Mkoa wa Mara na inadhaminiwa na ACACIA.
WIKI YA BIASHARA UTD MARA FAMILY DAY.
Wapenzi na mashabiki wa Biashara UTD Mara wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza zoezi la usafi soko la NYASHO leo Jumatano 7/8/2019,zoezi hilo ni muendelezo wa wiki ya Biashara UTD Family Day inayotarajiwa kufikia kilele 12/8/2019.
WIKI YA BIASHARA UTD MARA FAMILY DAY.
Katibu wa Biashara UTD Mara Ndg. HAJI MTETE (aliyevaa Reflector) akiwa katika picha ya pamoja na wapenzi, mashabiki na wanachama wa timu hiyo, baada ya kumaliza zoezi la usafi katika eneo la BUSTANI, Musoma Mjini leo Jumatano 7, August 2019.
WIKI YA BIASHARA UTD MARA FAMILY DAY.
Wanachama, wapenzi na mashabiki wa Biashara UTD Mara, wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu wa timu hiyo Ndg. HAJI MTETE (aliyevaa Reflector) mara baada ya kumaliza zoezi la usafi katika Kituo Cha Afya Nyasho, Leo Jumatano 7/8/2019.
WIKI YA BIASHARA UTD MARA FAMILY DAY
Baadhi ya wapenzi, mashabiki na wanachama wa Biashara UTD Mara wakishiriki zoezi la usafi katika soko la NYASHO, ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya maadhimisho ya BIASHARA UTD MARA DAY yanayotarajiwa kufikia kilele Jumatatu 12, August 2019.
WIKI YA BIASHARA UTD FAMILY DAY
Katibu wa timu ya Biashara UTD Mara Ndg. HAJI MTETE (katikati) akishiki zoezi la usafi katika soko la NYASHO lililopo Musoma Mjini, ikiwa ni katika maadhimisho ya wiki ya Biashara UTD Mara Day, yanayotarajiwa kufikia kilele 12/8/2019.