#DearNyerere, nikiwa Waziri nilianzisha movement ya kukumbuka birthday yako, tukaandaa Tamasha la kumbukumbu ya kuzaliwa kwako. Wapwa wananisulubu kwa makosa ya wasaidizi wangu, hawaoni nia yetu! Ila kiukweli nilipolikagua kwa ukaribu ni wewe mtupu sema kwa picha linabadilika!