National Cohesion and Integration Commission, NCIC, Marsabit County Coordinator Soke Dono calls for more Intergenerational Dialogue to curb radicalization.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Nchini IEBC Wafula Chebukati amefariki dunia.
Chebukati ameaga dunia katika hospitali moja jijini Nairobi akipokea matibabu.
Amekuwa akiugua kwa muda mrefu.
Rehabilitation of Golole Water Project, Officially Commissioned by Mr. @harsama_kello PS State Dept. for ASAL and Regional Development.
The water project will provide clean water to more than 3,000 residents and 10,000 livestock.
@CSBeatriceMoe@NDMA_Kenya@EACAffairsKenya
To our esteemed listener.
Biftu Radio 100.3 FM has been experiencing technical difficulties, affecting our normal transmission.
We're working to get things back to normal as fast as possible and apologise for the disruption to service.
Biftu FM "Wewe ni Sisi"
Ni. Vipi IG Kanja @PoliceKE anatangaza hakuna mtu aliyefariki migodi ya dhahabu ya Hillo Dabel, Moyale wakati watu 6 walifariki? Ni wizi wa dhahabu Hillo na unafanywa na maafisa wa usalama - Wazee Marsabit.
@DCI_Kenya@StateHouseKenya
https://t.co/rExIuXTixw
Marsabit Governor @GovMohamudAli on Isiolo @GovGuyo : 'I think I should petition CoG itoe induction vizuri kwa viongozi wengine, lazima watu wajue boundaries zao. I know, it's a big challenge when one is given a bigger responsibility than their capacity...It's a big challenge...
Gavana wa Marsabit @GovMohamudAli sasa anataka maafisa wote wa usalama migodi ya dhahabu ya Hillo Dabel, Moyale kuondolewa mara moja akidai kuwa wanajihusisha na biashara haramu ya dhahabu licha ya serikali kutangaza kufungu migodi hiyo.
@InteriorKE
https://t.co/vN0Ft5KFaT
Gavana wa Marsabit @GovMohamudAli akiwaongoza wanaMarsabit katika sherehe za maadhimisho ya 61 ya siku kuu ya Jamuhuri katika uwanja wa shule ya msingi ya Moyale Township.
Wakazi wa Moyale na wa mbali wamemiminika uwanjani humo kuhudhuria sherehe hizo.
Muhammad was the top choice for parents naming their baby boys in Wales and England in the year 2023, with more than 4,600 children, overtaking Noah as the most popular boy's name.
Hatua kubwa zimepigwa jimboni Marsabit na katika jamii ya wafugaji katika kuafikia malengo ya kuzima kabisa dhulma dhidi ya wasichana na wanawake amesema Bi. @FirstLadyMbt@AFGMBoard
https://t.co/hVi8jQbEou
Mweke wa kwanza wa Marsabit @FirstLadyMbt akiongoza hafla ya kufuzu kwa wasichana 200 eneo bunge la Laisamis katika programu Gaddis Gamme.
Wamepokea mafunzo kuhusu ukeketaji, ndoa za utotoni, afya ya uzazi, haki zao, athari za dawa za kulevya miongoni mwa mengineyo.
@AFGMBoard