@IdrisSultan Habari Idris. Mimi ni mfanya biashara Mdogo wa usafi wa majumbani, maofisini,maofisini,
-nyumba iliyomalizika kujengwa, inayotarajiwa kuhamia na usafi wa nguo, Kwa Sasa nimefikia hatua ya kununua baadhi ya vifaa. Lakini baadhi bado. Pesa yako itaniongezea mtaji niongeze vifaa.
@IdrisSultan Dear Idris, Naitwa Mwasiti, Ninauza Magauni ambayo inakua taratibu kulingana na eneo nililopo hivyo kushindwa kufikia lengo kwa sababu ya kutokuwa na mtaji wa kutosha. Natamani kupata eneo lingine lenye ushindani ili kuboresha biashara iweze kujiendesha yenyewe.
Ahsante...!๐