@mafolebaraka Hatupingi kuna watu wanalipwa hizo pesa ila tunachopinga ni wewe kusema unalipwa 3m kwa tangazo! Tunajua kuna watu wanalipwa ila sio wewe!
@mafolebaraka Sijakataa kuna watu wanalipwa! Naelewa wapo ila sio wewe!! Huna influence ya kulipwa kiasi hicho! Kwa hizo comments na likes nani akupe 3m jiheshimu dogo!