Mr Reforms is a passionate and tireless *human rights activist*, committed to advocating for justice, equality, and the dignity of all individuals.✌️✌️✌️✌️
Jioni ya Leo Nchini Kenya ,Nairobi maeneo ya CBD watu wa Jumuiya ya East Africa (wana jumuiya) wamekusanyika na KUWASHA MISHUMAA kwaajili ya kuonyesha mshikamano na watanzania kwenye kipindi hiki kigumu cha MAUAJI YA KIKATILI YALIYOFANYWA NA SAMIA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA.
Lissu alisema atakinukisha Yuko gerezani, Shekhe kasema atakata vichwa waandamanaji imekuwa habari kwenye media ana trend yupo kijiweni anavuta fegi na kahawa... Karibu Tanzania.
MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU.
NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI.
NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na maandamano ya tarehe 29 oktoba 2025 Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano kabla ya Ukweli ,Haki na Uwajibikaji.
Sijawahi Amini kwamba katika Taifa letu tunaweza tukawa na Majitu katili kiasi hiki katika mfumo wa utumishi wa Umma.Mungu Awalaani kabisa kila mmoja hadi kizazi chake cha 4.
HUU NI UHALIFU MKUBWA SANA NA HAUTAKIWI KUONEWA AIBU.ALIYE PANGA ,ALIYERATIBU NA ALIYETEKELEZA LAZIMA KWANZA WAWAJIBIKE KILA MMOJA KWA KADIRI YA MATENDO YAKE.
UNYAMA HUU HAUVUMILIKI
BAK MWABUKUSI.
OMG!! 😭😭😭😭 hii ni Mortuary ya Mwananyamala. Alieachia video hii anahofia mnooo maisha yake ndo maana imemchukua muda sana kunipa video hii.
Anasema kuwa polisi walikuwa wanachukua simu za manesi na madokta wanafuta video na picha na kuwatishia wasirekodi kitu, yeye alikuwa na simu 2 so akawapa simu ambayo alikuwa hajarekodi chochote wakaridhika.