Wadau gava imesema ID ni 2k watu was njugu walipe Thao,,,time ya elections tazama formation,,
President nalipisha 10,000
Governor nalipisha 5,000
Senator nalipisha 3,000
Mp nalipisha 2,000
MCA nalipisha 1,000
Wakikosa kunilipa wajichague kama tunawachagua alafu wanatutoka pesa