Kuna watu ambapo mnapata changamoto ya kufungua akaunti za PayPal?
Kama mpo comment hapa chini๐ kesho niandae uzi wa kutengeneza verified PayPal account
PS: Usisahau kurepost kwa watu wengine ๐ค
@Sativa255 Kitambulisho chochote ili mradi kiwe na taarifa sahihi tena kwa watu wazima coz watoto ni free port yupo na mzazi, pia kuna wanangu kibao wapo Zenji na wemenunua plot na wengine wamejenga na wengine wanaendelea na ujenzi acheni kuuponda huu Uhusiano wetu bora wa Muungano
@Labella_Mafia95 Ameshiriki kupitia Mtandao na mimi nimemuona na pia alitambulishwa aka wave hand kupitia hyo big screen...mengine ni ta Kiusalama zaidi
@Labella_Mafia95 Acha unafiki ile ni Biashara na kila kinachofanyika ni makubaliano ya pande 2 ambazo zote zinapata faida au hasara ndo mana wanakuwa na Mikataba...Nasibu hasaidii anafanya Biashara na ananufaika likewise kwa wasanii kwny hy label kwahy wakifanya move ni makubaliano