#UZI
💨MAKOSA 5 MAKUBWA UNAYOFANYA KATIKA SIMU YAKO BILA KUJUA.
Simu ni sehemu muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku, lakini wengi wetu tunafanya makosa yanayoweza kuharibu battery, speed, na hata data zetu bila kujua.
Taifa la Mungu tumsifu yesu kristo
Jumapili ya leo ikawe ya baraka na neema Tele kwenu wote
Hii bedroom set
✅️Kabati ya milango minne
✅️Royal Dressing table
✅️King size bed
Tsh 3,200,000 kama ilivyo kasoro Godoro tu
☎️0710444391[Calls& Whatsapp]
📍: Chang'ombe-Temeke
VIDEO:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ameeleza namna ambavyo malalamiko aliyoyatoa mahakamani hapo yamefanyiwa kazi.
Ameeleza hayo akisisitiza kuwa mamlaka ua haitoi chochote bila kudaiwa.
#TajiriLaKihaya
Baada ya #NoReformsNoElection kushika kasi…
Kijani wamekuja na mbinu mpya ili kuizima…
Mbinu ya kwanza ambayo imeanza kufanya kazi…
Ni kutafuta watu maarufu hasa mitandaoni- wasanii,wachekeshaji,watangazaji/waandishi wa habari…
Na kwenda kuchukua fomu ya kuwania ubunge- hata kama hakuna uwezekano wa kupita kwa wajumbe- we chukua tu fomu…
Piga picha na video nyingi- Post kwenye Page yako, ita waandishi wa habari iende Viral
Hii ita Trend na kuleta impression kwamba UCHAGUZI upo… na watu wengi wameridhia na watashiriki…
Easy tu💔
#UZI
💨JINSI YA KUONGEZA BIASHARA YAKO KWENYE GOOGLE MAP (GOOGLE MY BUSINESS).
Heading:
🔍 "Unataka wateja wakupate kirahisi? Hivi ndivyo unavyoongeza biashara yako kwenye Google Maps!"
Shuka🧵🧵👇
Mountain goats are also known as rocky mountain goats. These incredible animals are able to climb extremely steep surfaces.
Here are some videos that will shock you
A Thread 🧵
1. Photographer captures Mountain Goats scaling a mountain
#UZI
💨USINUNUE TV ILI MRADI BRAND
JE UNAJUA AINA YA TV UNAYOHITAJI?
Aina 5 za Skrini za TV – Kabla hujanunua TV mpya, hizi unapaswa kuzifahamu.
Shuka🧵🧵👇
#UZI
💨 JE UNAJUA GOOGLE INAKUSIKILIZA 24/7?
Zuia google kufuatilia maisha yako
Umewahi kupiga stor za simu na rafiki yako ghafla kwenye kuperuzi unakuta habari zinazohusu simu tu?
Kila unapoenda, kila unachotafuta, kila app unayofungua .
🧵👇
#UZI
💨TUMIA SIMU YAKO KAMA SPEAKER ZA LAPTOP YAKO.
(Step by Step)
Kama laptop yako ina sound ndogo au imepata tatizo la spika, hakuna haja ya kununua spika mpya mara moja.
Unaweza kutumia simu yako kama external speaker kwa ubora mzuri kabisa!
🧵👇
Repost🔄