NIC was incorporated in 1963. NIC has grown over the years into 1 of the most financially sound and reliable insurance companies . It's 100% Owned by government
Our team also was among the participants of the historical #HeartMarathon2019 that took place yesterday. We care and support community initiatives for the welfare of our nation.
Kaimu Meneja wa Tawi la Singida Bwana Nicolas Costa Massi akimkabidhi Mstahiki Meya wa Manispaa ya Halmashauri ya Singida Mh. Gwae Chima Mbua mifuko 145 ya saruji pamoja na mabati 100 kwa niaba ya Mh. Mussa... https://t.co/rfPpcuxSgt
Kaimu Meneja wa bima tawi la Kibaha ndugu John Mghase akipokea tuzo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa ambayo imetolewa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu tarehe 29 Oktoba 2018. Tuzo... https://t.co/s0Oxdk85fN
Mkurugenzi Mtendaji Wa Shirika La Bima la Taifa (NIC) Ndugu Sam Kamanga akimkabidhi Mh. Hamad Masauni Naibu Waziri Mambo Ya Ndani mifuko 280 ya saruji wiki chache zilizopita ikiwa ni sehemu ya kuchangia katika... https://t.co/VSZ3ayZUEa
Another great day of another week. We believe God has graced you with another life today. We wish you a great day and a fruitful week ahead of you. May God bless you, your family and colleagues.
Meneja wa Shirika la Bima la Taifa tawi la Kibaha Ndugu John Mghase akimkabidhi mteja bima yake ya gari katika ofisi za tawi mapema wiki hii. Shirika linaendelea kutoa huduma bora katika matawi yake yote nchi nzima katika wiki hii ya huduma kwa mteja. Karibuni wote tuwahudumie.
Meneja wa Shirika la Bima la Taifa tawi la Kibaha Ndugu John Mghase akimkabidhi mteja hundi yake ya malipo ya bima katika ofisi za tawi mapema wiki hii. Shirika linaendelea kutoa huduma bora za bima katika... https://t.co/1DCzS4h4QK
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Ndugu Sam Kamanga akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Meja Jenerali Gaguti alipokuwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo. Katika ziara hiyo Mkurugenzi alifanya... https://t.co/jjzhb9BCGh
For your insurance needs ranging from properties to life don't hesitate to visit our branches located throughout the country. Officer are open from Monday to Saturday. You're most welcome.
Kwa mahitaji yako mbali mbali ya bima zote, usisite kututembelea ofisi zetu za Shirika la Bima la Taifa (NIC) zilizo karibu nawe. Ofisi zetu zinapatikana Tanzania nzima. Karibu tukuhudumie kwa weledi zaidi. Kumbuka bima yako ndio kinga yako.
We believe your weekend is getting better by the minute. May God grant you all peace of mind and good moment as you spend quality time resting with your loved ones. Be blessed and enjoy life when you still have it.
Shirika la Bima la Taifa (NIC) linaendelea kuboresha huduma zake kwa kuwaletea huduma bora zaidi na bidhaa za bima kukidhi mahitaji ya sasa ya soko. Tunawakaribisha watanzania wote https://t.co/2kc0JPSeWt
NIC yaibuka kinara kwenye sekta ya bima katika maonesho ya biashara ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Saba Saba. Maonesho hayo yataendelea mpaka wiki ijayo. Karibuni wote https://t.co/1qnmBifZ4F