"Sote tunazo ndani yetu mbegu za wema na ubaya, chuki na upendo, utu na unyama. Matokeo ya hulka zetu hutegemea tu mbegu ipi tunaistawisha." ~Togolani Mavura.
UKIOMBA KUKOPESHWA LIPA. Trust na heshima huanzia HAPO. Ukikaa kimya SHIDA HUWA HAZIISHI. Kuna siku utakua na UHITAJI MKUBWA na HUTAKUA NA WA KUMWAMBIA maana HURUDISHAGI.