After Drogba and Rio Ferdinand, Tanzania's President Samia Deploys Controversial "Pan-Africanist" Blogger @DavidHundeyin to Whitewash the October 29 Massacre
https://t.co/yS3lzZdIy4
โผ๏ธ๐จTANAPA WATUMISHI WANALIAโผ๏ธ
Musa Kuji, Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA anatuhumiwa kutoa pesa kiholela kwa Bi Kizimkazi na familia huku wafanyakazi wakihaha!
Mnakumbuka niliwashtua mwaka jana kuhusu ufadhili wa magenge ya utekaji na uchafu mwingine kupitia TANAPA? Sasa pesa hakuna na kidogo wanachopata ndo mnasikia lobby group inalipwa dola milioni moja! Kumbukeni TANAPA inaingiza dola nyingi kutokana na utalii lakini wafanyakaxi wanaishi kwa kukopa hadi ada ya shule hawana maana hawalipwi!
Leo wanaija wanalipwa madola kuandaa documentary ya kumsafisha mwuaji mkuu - basi bora hiyo pesa ingebaki ndani ya mpaka hata machawa wapate kula! Walivyo na roho ya ajabu pesa za kigeni wanamwaga kwa wazungu na wanaija! Machawa wanabaki kuchambana kuhusu milioni 10 ๐
Watoto wanajisaidia porini maana serikali inashindwa kuchimba hata shimo za choo!
Kila mtanzania ajue atafikiwa! Tusimame tuungane kuondokana na wakoloni weusi! Nchi inakwenda!
#SamiaMustGo
Kwa mujibu wa Wakili Peter Kibatala ni kwamba Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma wamemsafirisha Pauline Pallangyo na kumleta Dar es salaam.
Imagine pamoja na usumbufu wote Polisi hawataki kusema kosa lake ni nini, yani @tanpol mnkamata mtu bila kosa halafu ndo mnaanza kufanya uchunguzi mambo ya hovyo kabisa haya.๐ฎ
NB. Baada ya Oktoba 29 huyu Dada alikuwa miongoni mwa watu ambao walipewa kesi ya Uhaini badae akafutiwa mashitaka.
๐น๐ฟ๐บ๐ธ Tanzaniaโs Washington Lobbying Machine: How Samia Suluhu's Government Is Paying $720,000 a Year to Rewrite Its Reputation in the US
https://t.co/kMeaJu1LV5
#JasusiTV ilikuwa chombo cha kwanza na pekee cha habari kuripoti kuhusu mpango huu dhalimu. Rejea hapa "BREAKING! Hujuma Nzito Kesi ya LISSU na Mipango Miwili Hatari Dhidi ya CHADEMA" https://t.co/tcPGn9fFVx
Ipuuze JasusiTV at your own risk ๐
โผ๏ธWafanyakazi wa ubalozini wamepatikana wakifanya uhuni DC โผ๏ธWalivaa wasijulikane ila wamejulikana ๐
Wanajihusisha na paid protestors na intimidation ๐ฎ
๐๐ฝEva Ngโitu - Head of Chancery
๐๐ฝRichard Mwilipanga Lupembe - Minister Plenipotentiary, Public Affairs
Aibu! Aibu! Aibu!
#TutaelewanaTu
#FreeAllPoliticalPrisonersinTanzania
BREAKING: Kundi kubwa la makachero lilitumwa kwenda nchi mbalimbali kuwashugulikia wanaompinga Rais Samia. Walioenda Marekani walizuiliwa walipofika airport Washington. Balozi wa Tanzania alipoenda kuwatetea, naye aliwekwa chini ya Ulinzi.