Choir master mbona kimya sisi mashabiki zako tunataka track mpya....mie ni shabiki yako ila tunaachana kwa kwa huฤทu bongo mie ni shabiki wa man united na young African ila wewe ni shabiki wa man united na mikia fc
Nichukue fursa hii kuwaomba radhi gongowazi..kusema la ukweli sikuwa najua kama 5 zinauma hivi..niwaahidi tu kuwa mechi ya mzunguko wa pili tutawaongezea dozi kidooogo..Ahsanteni.
Kila La heri @simbasctanzania , wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika nina imani mtapambana hadi tone la mwisho, YES WE CAN.