Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo ameongoza Menejimenti na watumishi wa Wizara katika shughuli ya upandaji miti katika Ofisi za Wizara (Jengo la Kitengo cha Elimu ya Afya) zinazoendelea kujengwa katika eneo la Njedengwa Jijini Dodoma.
"Natoa wito kwa Taasisi zetu za Wizara ya Afya ziendelee kupanda miti, nimeona Hospitali za Rufaa za Mikoa mbalimbali zinashiriki kwenye zoezi hili pamoja Tasisi zetu, kuna miti ya matunda, mbao pamoja na ya dawa yote haya tunayahitaji kwenye Sekta yetuโ amesisitiza Prof. Makubi
MKUTANO NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
LIVE: Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote
Bofya link hapo chini kufuatilia mkutano huu mubashara.
https://t.co/4qOLGhpDdp
CCM kama hamumtaki Waziri Mkuu wenu si muomtoe! Kunihusisha kwenye mambo yenu ya kijinga na kuntumia Zitto ni upumbavu wa hali ya juu sana
Kama mnadhabi Zitto ndiye anaweza kuwasaidi ku run ajenda za kumtoa Waziri Mkuu wenu that is your business lakini kumtumia kuhusisha watu