Whether unacheza Uptown Kileleshwa ama wewe ni wa Downtown Majengo ya Nyeri, BlueMoon Vodka brings us all together!
Comment na mtaa unatoka tujuane, unaweza ata angukia mshikaji wa mtaani kamzinga katambe.
Wako wapi wale kawaida wanacheza na mguu mbili za left lakini BlueMoon Vodka ikishaingia kwa system wanageuka madancer hatari kabisa kwa sherehe?
Tag them!
Hii wikendi lazima kashike na BlueMoon Vodka!
What are your top 3 ingredients for an amazing weekend?
Zetu ni mzinga ya BlueMoon Vodka, mabeshte watrue na ngoma inaweza!
Hii New Year we hope resolution ni kukunywa responsibly na kujibamba vile inafaa.
Tuchangamsheni pia na tips za kukata maji responsibly tusaidiane kama #TeamBlueMoon
Round hii itabidi tumulikane, tag yule msee anameza mzinga ajab lakini ikifikanga masaa ya kuchangia ndio anatokanga kupiga simu ama anadai umsort akurudishie kesho.
๐