Hatuna cha kujivunia na sio nguvu zetu
Mali zetu,
Uwezo wetu
Uliotufanya tuendelee kuishi.
La hasha! Ni neema ya MUNGU tu na rehema zake tu 🙏🙏
Nawatakia sabato njema ya Baraka🙏
Wanangu msisahau kanuni! Msifake maisha hata sku mja, be you, be real , wakufuate kwakua ni wew ila usilazimishe wa kufuate kisa ni fulani! Usiongeze watu wapya kwenye maisha yako ila usiache kushilikiana na watu wapya , wakufahamu kwa kazi yako sio maisha yako
Nikifika ile hatu ya kujitambulisha mbele za watu hivi👇
Naitwa @bm_classic
Ni mume wa MKE MMJA na BABA WA WATOTO KADHAA
nini ingine nitakuwa nataka kwa hii maisha🤩
Nyie subirin tu nifike hiyo hatua
if it's meant to be, it will be, you won't have to force, convence or worry over it. let it flow, let it be and let it come to you, your attracting everything you need.
Trust the timing of your Life