@max_zitatu Nadhan ndani ya 2020 mimi ndo mwanaume niliyeongoza kuachika per month nilkuwa naachika mara 3 na pisi tofauti,,,mpk apa tr y leo nshachika tena
@Kiganyi_ Aswa pisi za Western kule anapotokea M7 ni hatar na nusu japo hazina maajabu kwa bed,,, wale tulioxcul Seeta high na Ntinda view tunazo habar zao
@RealHauleGluck @HEBobiwine@KagutaMuseveni Ata mitaa ya Ntinda naskia Kyagulanyi sentamu a.k.a Bob wine anaongoza ,, nmepata taarifa toka kwa wanangu wa Ntinda view high school na Seeta high school alumn....
Leo ni siku ya 7 Mwenyekiti wa Chadema jimbo la Bagamoyo Mathayo Torongei anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, wamekataa kumpa dhamana na mpaka leo hajafikisha Mahakama jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi yetu. #FreeMathayoTorongei