#bombatvupdates; The king of Afro-pop @wizkidayo Just scored a Hat-Trick. #wizkid spends over 1.5 Million Dollars on a brand new cars.
1. Lamborghini Aventador ( $825,914 ).
2.Rolls Royce Cullinan Black Badge ( $791,900 ).
3. Mercedes-Benz Maybach Minivan ( $184,900 ).
Mchezo ni mapumziko klabu ya yanga sc ikiwa mbele ya uongozi wa goli 1-0 dhidi ya simba sc, mchezo wa nusu fainali ngao ya jamii, goli likifungwa na mchezaji max nzengeli dakika ya 44.
Je kipindi cha pili nani atamaliza mbabe kariakoo derby.!!?
Hizi ni picha na video zikiwaonesha mastaa wawili kutokea tanzania @diamondplatnumz na @harmonize_tz wakisalimiana kwa bashasha na harmonize kumkumbatia diamond usiku huu katika futari ya Raisi Samia Ikulu.
Je tutegemee tofauti za wawili hawa kuwa zimeisha nakuanza kufanya kazi.
Staa wa muziki kutokea Tanzania @diamondplatnumz ameshare video inayomuonyesha akiwa studio na moja ya maneno aliyosema ni matayarisho ya album yake baada ya kukaa muda mrefu bila ya kutoa album toka album yake ya kwanza.
Unahisi ndani ya album hiyo wasanii gani watashiriki.!!!?
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia leo Februry 29,2024 saa 11:30 jioni Hospitalini Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya
mapafu.
Rais Samia ametangaza siku saba za maombolezo
Cc : @millardayo
Mchezo umemalizika kombe la mapinduzi 2023, kwa klabu ya yanga sc kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono mbele ya mashujaa sc.
Wananchi wamefunga mwaka 2023, kwakueka mnara wa 5G ✋visiwani Zanzibar.
Klabu ya Young Africans SC
imemtambulisha kiungo wa zamani wa Simba SC Augustine
Okrah kama mchezaji mpya klabuni hapo.
Yanga imemtambulisha nyota huyo raia wa Ghana wakati wa mapumziko ya mchezo wa kombe la Mapinduzi visiwani humo.
Mchezo umetamatika ligi kuu Tanzania bara kwa klabu ya yanga sc kuibuka na ushindi unaowaweka katika nafasi ya 2 na kueka matumaini mazuri katika kiny’ang’anyiro cha ubingwa ligi kuu Tanzania bara NBC PREMIER LEAGUE 2023/24.
Mchezo ni mapumziko ligi kuu soka nchini uingereza klabu ya liverpool ikiilazimisha klabu ya arsenal sare katika kipindi cha kwanza baada ya kusawazisha katika dakika ya 29’ kupitia mchezaji wa Mo Salah.
Je utabiri wa matokeo ya mwisho utakuaje.!!?