Twitter has blocked the Pakistan govt's account in India in response to a legal demand
The company's guidelines require it to withhold entire accounts in response to a valid legal demand. The account, @GovtofPakistan,can still be viewed and interacted with in other countries.
Pope Francis has been hospitalized in Rome for a few days due to a respiratory infection causing breathing difficulties. He does not have Covid and will undergo appropriate medical therapy.
BREAKING: Eric R. Holder, aliyeshtakiwa kumuua Rapper Nipsey Hussle (pichani) mwaka 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka 60 jela.
Nipsey aliuawa akiwa na umri wa miaka 33.
Waziri Mkuu wa New Zealand 🇳🇿 Jacinda Ardern, amesema serikali yake inafikiria kuteremsha umri wa kupiga kura kutoka 18 mpaka 16.
Hatua hiyo inafuatia hukumu ya Mahakama ya Juu kutoa hukumu umri wa (18) unaenda kinyume na muswada wa sheria ya haki za binadamu za nchi hiyo.
Mahakama ya Juu nchini Afrika Kusini imeamuru Rais wa zamani, Jacob Zuma, kurudi jela kwani uamuzi wa kumtoa ndani kwa sababu za kiafya, hazikufuata au kuwa timamu kisheria.
Zuma alihukumiwa kwenda jela miezi 15 baada ya kukataa kutoa ushahidi katika uchunguzi wa kiserikali.
Hii ni mara ya kwanza kwa Qatar kushiriki kwenye Kombe la Dunia.
Baada ya kushindwa kushiriki kwa njia ya kawaida (mtoano kikanda), mwaka huu wanashiriki kama wenyeji.
Qatar 🇶🇦 ilicheza mechi ya kwanza rasmi mwaka 1970. Ilishinda Kombe la Asia mwaka 2019
Kiungo wa timu ya taifa ya Ufaransa na Juventus ya nchini Italia, Paul Pogba, hatoshiriki kwenye michuano ya mwaka huu ya Kombe la Dunia kutokana na majeruhi. #PaulPogba#WorldCup2022