@Thommunkondya Yani yeye kama amiri jeshi mkuu hajui kilichotokea hadi tume iundwe? Hajui nani alitoa order ya kuua watu hovyohovyo ambao hata hawakuwa kwenye maandamano ! Tuseme tu kuwajibila siyo tamaduni yetu !
Vurugu gani zinatulizwa namna ile ! Asilimia kubwa ya waliofariki hakuwa kwenye maeneo zilipotokea vurugu! Kilichofanyika ni mauji ya kiholela, inasikitisha!