@bankseven_@Geoffrey87Lea Ila maema aise ..basi tu anakosa watu ..yule jamaa angekuwa na box to box mmoja mkatili wa viwango ,no10 katili na shambuliaji moja huni ..aaa kuna timu zingeimba afrika hii ..kana pasi jamaa anapiga unasema heee ,kwan wenzie haelewi njia za mipira au !