Ata stress ni suala la saikolojia, ukiikubali akili yako kukubaliana na mambo yalishatokea na huwezi kubadilisha chochote bali kuanza upya jua tu unaikaribisha Peace of mind tena.
We got this bros, Menโs Mental Health Month๐ช
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA,
Wekeza hapa:
1. High income skills
2. Mentorship na coaching
3. Vitabu na taarifa nyeti
4. Connections na uzoefu.
Hisa za 1M hazitakufikisha popote.
Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
Tajiri Saidi Rugumi kasema jambo la muhimu hapa ili ufanikiwe kwenye maisha ๐ฃ๏ธ
" Ukitaka kufanikiwa Kwenye maisha yako hakikisha hau dhulumu cha mtu, iwe pesa au mali, na kwenye utafutaji usilazimishe jambo ambalo Mungu ambalo hajakupangia nalo na hio ndo makosa ya waTanzania wengi wanalolifanya au vijana wengi au kufanya vitu kwa kuiga "
Wakuu usiache kuomba ipo Siku usiyoijua milango ya riziki kubwa na baraka kubwa na mwanzo wa maisha mapya utaanza
..โ๏ธ Zamani ulikuwa ukimuuliza mtoto wa darasa la pili, ukiwa mkubwa unataka uje umuoe muigizaji gani? Atakuambia Irene Uwoya, mara Wemaa mara Jokate, sijui Aunt Ezekieli au Lulu au Johari ila sasa hakuna muigizaji wa kike gen Z anaevutia bado wanajulikana hao hao millenias ๐