....Kuna jamaa wanachapa pesa mtandaoni bhana!
Ukiniuliza kwa Bongo soko la Information Marketing linakuwa kwa kasi sana.
Ukiangalia mtu kama @isaack_nsumba , @NyandaAmosi ni miongoni mwa wabobevu kwa kuuza taarifa mtandaoni.
@Mkunga_Og anamkimbiza mwizi kimya kimya kwa kuuza bidhaa za taarifa za afya.
Wako wengi sana,
Kina @jnanauka ,
@GillsaInt ,
@Sam_instaGuru,
@gabyconscious,
@ally_eh,
@meetmelch,
@meetkhaled_,
@sajo_mwaihabi,
@Psiteshio1,
@ShukuruAmos,
@jorammtanzania,
@kelvinkibenje,
@SeifJamal21,
@mafolebaraka
@Joshuamsuya_
@kabigwa_78
Na wengine wengi..
Hawa waliamua mali yao kuipata shambani.
Binafsi huwa naamini kuwa INTANETI indo fursa pekee ya kumtoa mtoto wa mkulima na hakuna mtu wa kumkwamisha.
Sema watu wengi wanapokuwa mtandaoni wanakosa kujua wafanye nini ili kufika nchi ya ahadi.
SASA, ni zamu yako...
Kwa siku 335, tangu huu mwaka uanze nimekuwa nikiandika E-Book ya:
"Wewe Ni Mgodi: Sayansi ya Kubadili Akili, Ujuzi, Maarifa na Kipaji kuwa Pesa."
Pengine, hiki ni kitabu cha lazima kusoma kwa kijana yoyote wa Kitanzania ambae ana ndoto za kufanikiwa kupitia mitandao.
Kitakusaidia kujua chimbo, jinsi ya kujenga brand na kuji-postion na hatimae kulima online.
Kama wewe sio mmoja wao, basi hakitokufaa. Achana nacho.
Hapa tunahitaji kuzalisha wakulima wa mtandaoni tu.
Na Leo hii natoa Ofa ya E-Book hii rasmi kwa watu 50 Tu kwa mwaka huu 2024.
Hawa watakipata kwa bei ya OFA lakini pia watahudhuria MASTERCLASS ya kukichambua kitabu LIVE.
Ukibahatika kupata nafasi unapata na Bonasi zaidi ya 15, + zingine za surprise.
NB: Ni watu 50 tu wa kwanza.
Ukikosa fursa hii umependa mwenyewe kubaki nyuma.
Mpaka sasa nafasi zimebaki 45. Hata saa haijaisha.
Kuwahi siti yako: Link ya bahati hii hapa.
https://t.co/l4zzJYEoeO
#WeweNiMgodiOutNow
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA,
Wekeza hapa:
1. High income skills
2. Mentorship na coaching
3. Vitabu na taarifa nyeti
4. Connections na uzoefu.
Hisa za 1M hazitakufikisha popote.
Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
Meshack, nakusoma mtaalam.
Ndio maana nikasema awekeze kwenye vitu vya kumpa potential ya kuongeza kipato kwa haraka, ili aweze kuwekeza bila stress for long term.
Mtaalamu
Hisa ni sehemu ya kujenga na kukuza utajiri kwa muda mrefu, na sio njia ya kutengeneza pesa za haraka kama biashara au ujuzi
Unaponunua hisa, unanunua umiliki wa sehemu ya kampuni.
Kadri kampuni inavyokua, faida zake zinavyoongezeka, na thamani yake sokoni inavyopanda, ndivyo uwekezaji wako unavyokuwa.
Kwenye HISA unajenga utajiri wa badae na sio kutengeneza pesa kwa haraka.
βWekeza UTT miaka 30.β
Sawa.
Lakini swali ni kwamba .
Je, matajiri tunaowaona leo walitumia miaka 30 kwenye UTT ndipo wakatajirika?
Jibu ni hapana.
Wengi walijenga biashara.
Wakatake risks.
Wakauza bidhaa.
Wakajenga kampuni.
Baada ya kupata utajiri ndipo
ππΌ
Jana Voda wamepoteza mtandao, nikatoka hewani ghafla kwa zaidi ya saa 3, nikajua line imekufa. Nikaenda, kurenew, wakala anamaliza line haisomi. Nikajua, uhuni huu tayari sio line ni mtandao. Na nikiwa hapo nikaokoa watu kama 3 wasifanye kosa.
Hii mitandao inatuchukulia poa π
πΉπΏ Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
β TSh 294,320 kila mwezi
β TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
Mtandao wa X haukuwa sehemu ya kupita tu kwangu, ulikuwa sehemu ya transformation.
Mwanzo nilikuwa mtu wa kufuata mkumbo tu mara huku, mara kule, nakutumia muda mwingi kujiongelesha uku na kule.
Lakini siku moja nikakutana na post ya Brother @Millambo_
Post moja tu ilinistua akili aisee
Na hapo ndipo nikaanza kufatilia content za kujifunza kutoka kwake nakumbuka mpaka niliweka notification za post zake
Na wengine wengi waliokuwa wanafundisha mindset, fedha na kujijenga.
Nilipata muamsho wa kufatilia content za kujijenga zaidi na kuongeza maarifa zaidi.
Taratibu nikaanza kubadilika, nikapata direction mpaka kufikia kukutana na Braza Millambo
Kwa hiyo kama wewe ni kijana ambae upo umu Twitter/X, usione ni sehemu ya kuburudika, kuzurura naku -scroll pekee
Inaweza kabisa kubadilisha maisha yako kama ilivyobadilisha yangu.
Usichukulie poa.
#ElimuBure
Naona vijana wamenogewa na kuset What'sapp kufuta meseji.
Aisee, sijui ni mkumbo au kutokufikiri.
Kama upo kwenye biashara au kujenga network unawezaje kukubali kutokuwa na kumbukumbu za wateja au washirika wa kimkakati? Kwanini?
Huku nako ni kutokuwa serious na maisha!
Acha kuperuzi mtandao.
Weka simu chini chap.
Andika malengo ya miaka 5.
Andika malengo ya miaka 3.
Andika malengo ya mwaka 1.
Andia malengo ya miezi 6.
Weka malengo ya miezi 3
Weka malengo ya mwezi, wiki na kila siku.
Hutakuwa kama jana.
#SIKU100ZAUHURU