Nyuma ya maisha ya mafanikio ya watu yana mambo mengi sana usiyatamani. Jifunze kushukuru na kuamini mipango yako na kuamini Mungu atatenda kupitia juhudi zako na mipango yako.
Kwani mliooana huwa mnaenda kufanya shopping bila kuwa na makubaliano kabla.
Unakuta mtu na mke wake wapo dukani ni mwendo wa kufokeana, kununiana, et mmoja anafosi kununua nguo mwenzake hajaipenda.
Kama hamuwezi kwenda pamoja sikila mmoja aende kivyake tu.
Mnakwama sana.