@TriciaAbou Okay, lakini swala la kulipa watu na sio kampuni fulani , ulinzi hakuna tena hapo. Na likitokea tatizo hakuna sehemu au mamlaka itawasaidia.
@maotora_emem@Sincerelyrahma7@Fefe_doll Lazima , Akamba na kampala Coach walikuwa wahuni, wanakwambia kabisa unataka kukaa na mzee toa kidogo upate ๐บ na mtu wa umri wako.
@CodeMetalai@Sincerelyrahma7@Fefe_doll Unasubiri week ya mwisho ndio unaenda kukata unakuta majina kabisa kwenye chart ,unachagua zuri unakaa pembeni, sema ndio hivyo unaweza kuta jina zuri Ila mmama umri wa bi mkubwa nyumbani.
@maipambomteta Kazi kazi brother, lakini hizi sentesi zako mbona zimekaa kimmkakati sana , kununua maziwa, kupiga fundo moja , kulala, kuamka yameganda, maziwa unayoongelea hapa ni haya haya ya ngโombe ๐ฅ au kuna mengine ?
@CavityDamas23 ATA mtanzania unaweza kuwinda . unaweza kumiliki nyara yoyote kupitia utaratibu na Upo wazi. Kuna taxidermists ambao wanavibali chini ya Tawa na vitalu vya kuwinda pia vipo.
@asiliayetu@ElimikaWikiendi Ukitazama vizuri picha zake ni right handed, jembe haliwezi kukaa kushoto unless anatumia cross draw carry / aina hii ya ubebaji sio common bongo kabisa . Lakini yote kwa yote Huyu sio kijana.
@PolycarpMDM Nchi kubwa zina sheria kali kwao inawezekana kabisa ,US kama huna Miaka 21 huwezi nunua beer ๐บ au sigara popote .ATA ukitumia Uber Eats dereva akija anaomba kitambulisho kama umri huo huna anaondoka nazo.
@ema_fundi_nguo Kuna fundi anakushonea suit kwa picha tu bila kufika ofisini kwake , unataja size ya suruali kiuno na urefu na picha yako full . Masaki hapo , wewe unaweza?
Huyu mtu ni mfanyabiashara mkubwa , baba yake ni mchungaji, ana mali zisizohamishika Tanzania, na mtu Anakaa na viongozi, wanachotaka ni bond ya $15,000 na anayo takataka tu kufanya hayo , you tusiwape nchi ya watu lawama, kesho saa 6 usiku ya bongo Nitakuonesha wageni wangu wanaingia kwa siku 90 kwa utaratibu huo wamekuja kuangalia mechi kutoka KIA mpaka DULLES international airport.