@Gerry780000000@FamWorld2025 Hii nlishudia mke alifariki (kama isingekuwa hiyo sehemu aliyonunua hicho kiwanja alikuwa anawasalimia aliopakana nao) kile kiwanja kingepotea.
Ni mzee mmoja alikuja kuumulizia ofisini kwake,wafanyakazi wenzake ndo wakamuelekeza kwa mume wake.
Mume alikuwa hakijui hicho kiwanja
@Drudysseus We still have a vast land ( Dodoma, Singida , Tabora) kule juwa linawaka hatari.
Kwanini tusilaze Solar Farm kule tukahangaike na Bwawa??
Hii naikataa
@Drudysseus Ile Hifadhi ni heritage site, zifungwe mabwawa mengine sio pale.
Kujenga tuu bwawa nature was disturbed, tena tuweke ma panels ?
Wanyama waachwe wanywe maji kwa urahisi
Kiukweli nikionaga mwanamke anatukana huwa nashtuka na kumshangaa na macho yote mawili.
Mwanamke unatukanaje matusi ya nguoni ??...Tena yale ya kihuni..
ππ«₯