Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.
Yoshua 1:9
Hii kitu sio bahati mbaya, shetani hapendi kabisa ndoa yenye amani na furaha na anafanya kila kitu ili kuharibu ndoa. Alianza na swala la haki sawa sasa kafika huku. Inachukuliwa poa tu ila it's pure satanic.
Kati ya kundi linalokuja kwa kasi na halilizungumziwi ni hili la wanawake wanaoitana kwenye vikao na kuanza kuwafundisha wanawake wengine ujinga "usimuonyeshe mumeo mali zako coz wanaume ni matapeli" wewe mmeo unamuona kabisa anaipambania familia yake unabeba ushauri huo๐๐พ
Ila wao wamejazana kibao huku wanafanya biashara na hakuna anayewasumbua. Ila ilikuwaje Mwalimu akaenda kuungana na hawa watu?
๐คฆ๐ฝโโ๏ธ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji Hassan Khamis Hafidh amesema hayo Juni 6, 2026 katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi Bajeti ya Vijana.
Nini maoni yako Mdau?
Shiriki mjadala https://t.co/pE8OwfV8v5
#JamiiForums #Utawala