Pale kariakoo mtaa wa Tandamti kabla hujafika Sokoni kuna jengo la Tandamti Tower, lile jengo mpaka limewekwa mabango kuwa hakuna kilemba na kodi ya mwezi mmoja ni bure ila bado halijajaa 🙌🏻
Najiuliza Location sio nzuri au Fremu zimekua nyingi na wafanyabiashara hamna 🤔
Wanasema wakati mwingine urithi mkubwa si nyumba wala pesa. Ni siri.
Kuna mzee mmoja alifariki akiwa na watoto watatu.
Baada ya mazishi, wakili aliwaita ofisini kusoma wosia.
Kila mmoja alitegemea kusikia kuhusu mashamba, nyumba na akaunti za benki.
Lakini wakili aliweka funguo moja ya zamani mezani.
Kisha akasema,
"Marehemu ameagiza funguo hii apewe mtoto ambaye hatauliza anapata nini."🥹 Wote kimya baada ya saa moja hivi
Watoto wawili wakaanza kubishana. Huku Mmoja alitaka kujua nyumba zitagawanywaje.
Mwingine alitaka kujua fedha ziko benki gani.
Mtoto wa kwanza yeye alikuwa kimya tu.
Mwisho wakili akasema, "Chochote alichoamua baba, nitakiheshimu." Kisha
Wakili akamsogezea ile funguo mtoto wa kwanza . Hakukuwa na maelezo mengine ila
Ilikuwa ni funguo ya nyumba ndogo iliyokuwa pembezoni mwa mji. Alipoifungua, hakukuta fanicha za thamani.
Hakukuta dhahabu.
Alikuta makabati yaliyojaa👇👇👇
Kunawale panya wanaingiaga kwenye magari,akisha ishi humo kwa muda kidogo usidhani labda kuna mahali unaweza ukamuacha,unaweza ukawa unepaki,anashuka anaenda kutafuta msosi hata mita 20 huko,ila ukiliwasha gari ili uondoke lazima atoke speed aje kupanda,hatakama eneo hilo kuna magari 200 ila muungurumo wa wa engine ya gari yako anakua amesha ukariri.😀😀🙌
Pumzika kwa amani Mzee Akwino Pandisha. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yako yaliyojaa baraka, busara, na mafundisho mengi kwetu. Umeondoka ukiwa umetupa msingi imara wa kusimama. Nenda kwa amani, Mzee wetu. Eternal peace grant unto him, Lord.
@MiroTanzania@Tinahcristiaan Ni kawaida sana hao jamaa kufanya hivyo na si kwa sababu ya ulemavu wake. Dereva ambaye uwa namtumia nikiwa Dar ni bodaboda pia. Uwa nikiwa naye akipigiwa simu na wateja wake wa kawaida uwa anagawa mchongo kwa bodaboda wengine. Na siyo mlemavu.
@comanchechiefIV@MiroTanzania@Tinahcristiaan Sio wote boda wengine waongo kichz, anapigiwa ampeleke sehem fulan anamuambia nipo sehem flan nakuja huko ila kiuhalisia hapo anakupeleka wewe sehem unayokwenda ila kamsubilisha huyo mwingine unabaki unajiuliza sasa huyo atamfikia saa ngap na unapoenda wewe ni kipande kidogo 😂🙌