Diva kawapostia watu hii screenshot naona watu wa fb licha ya ushamba kidogo walionao ila wameruka nae sana , wanasema ame edit maana hajui maana ya debit na credit , huyu ndio watu walimchangia juzi alivyofukuzwa kwa kushindwa kulipa kodi kwenye ku fake ameshindikana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Habari, Platform yetu ya SAMALEN TIPS version 1 kwa sasa iko offline lakini kuna Version 2 ambayo ni kwa ajili ya VVIP pekee, Kama utahitaji kujiunga VVIP unaweza kuwasiliana nasi mapema ili kupewa link mapema kabla ya mechi kuanza Ahsanteni
@ufntc We ni mbwa kabisa , inakuwaje unafananisha kanisa na vitu vya ajabu?? Hata kama ni uchawa usikufanye ulishushe hadhi kanisa kiasi hicho, au una utindio wa ubongo
Pay after win imerejea Leo nimeandaa odds 32+ mechi zinaanza saa 10 na nusu sio mbaya hata ukichelewa mechi ya kwanza mwisho kupata mkeka huu ni saa 11 kamili Repost kisha comment nikutumie dm ๐ค
Hii situation ilinikuta kipindi flani namuomba Dotto Magari nifanye nae interview akaniambia wewe unihoji nini,akanikataa kuna dada mmoja akamwambia dotto hawa watu ndio wanawapeleka mjini, na msanii flani ali m mind akaniambia mdogo wangu achana nae huyo du ila ile moment ๐ก
Juma Ayo anapiga ukunga kunyimwa Interview na Niffer ila Waandishi saa zingine tunajitakia aibu kwa shobo shobo za kijinga na watu ambao kiukweli saa zingine we all know hawana hiyo impact kwa jamii zaidi ya Views, Juma Ayo kwa nafasi yake sasa hivi sio wa kutretiwa vile honestly
NI WAKATI WETU , MUNGU AMESEMA HONGERENI SANA Hii mikeka inakuwaga kule whatsapp https://t.co/2oHY9B8lLJ Only watu wenye akili ndio wa join kama wewe ni mapepe usije kule ๐ค
Hii post niliweka ya mtego ili nitoe mitaji kwa walio repost ila mtego huu waliuona tu watu wenye upeo na akili, Lwanda ukiona post hii nitumie namba inayopokea hela dm nikuwakilishe vyema ๐