UHISPANIA: Takwimu za Benki Kuu, zinaeleza nchi hiyo inakabiliwa na upungufu wa takribani nyumba 750,000, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka na kufikia zaidi ya nyumba milioni moja ifikapo Mwaka 2028.
Zaidi https://t.co/ae85NOdIbJ
#JamiiForums#HumanRights
MTWARA: Kupitia Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya https://t.co/jOyQppw5FO, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imechapisha taarifa hii kuhusu malipo ya fidia Uwanja wa ndege Masasi.
Zaidi https://t.co/bqFIjCT2tY
#JamiiForums#UtawalaBora
BURUNDI: Rais Évariste Ndayishimiye aliteuliwa Aprili 2026 kuwa mgombea wa chama tawala cha CNDD-FDD. Kwa mujibu wa agizo la hivi karibuni la Rais, wagombea wanatakiwa kuwasilisha nyaraka za uteuzi katika Tume Huru ya Uchaguzi kati ya Novemba 13 na 22, 2026.
Fuatilia zaidi https://t.co/jSKybaK3aI
#JamiiForums #Siasa #UchaguziBurundi2027
DAR: Jeshi la Polisi linamshikilia Halidi Kalaghe, mwendesha mtambo "Excavator" kwa tuhuma za kuharibu mali za mwajiri wake, Novemba 10, 2026 mtaa wa Mvumoni Somangila Kigamboni baada ya kutoelewana na mwajiri wake kampuni ya China Energy Engineering Group Guanxi Hydroelectric Construction Bureau https://t.co/GNNdUEDG48 inayofanya kazi ujenzi wa barabara katika manispaa ya Kigamboni.
Katika tukio hilo Halidi aliharibu mageti mawili na uzio wake, gari ndogo, gari la kubebea mafuta, pamoja na nyumba za muda zenye vyumba vitano na vyoo.
Zaidi https://t.co/CMvFK0WV9b
#JamiiForums #Uwajibikaji
MOROGORO: Mpelelezi wa Makosa ya Jinai wa Kikosi cha Reli kutoka Shirika la Reli Tanzania (#TRC), Staff Sajenti Mageta Marwa amesema hayo Novemba 10, 2026 wakati akitoa Elimu kwa Viongozi wanaoishi katika maeneo ya ushoroba wa Reli.
Soma https://t.co/i7G9TOeC1m
#JamiiForums #Sheria #JFMatukio
Jeshi la Iran limefungua kambi ya kwanza ya mafunzo ya kijeshi jijini Tehran, katika Uwanja wa Azadi, kwa ajili ya wanawake waliojitolea kuilinda nchi yao dhidi ya uwezekano wa kushambuliwa tena na Marekani.
Zaidi https://t.co/s5XslxoDwG
#JamiiForums#Utawala
Hata hivyo, Wakili William Maduhu amesema Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam lilimthibitishia Oktoba 29, 2026, kuwa linamshikilia Mwandishi huyo (Jacqueline Mlekezi) lakini likakataa kutaja kituo alichopo.
Zaidi https://t.co/hh6LRJwg6E
#JamiiForums#Sheria
Taarifa hiyo ya Waziri wa Afrika na Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Kirsty McNeill imezitaka mamlaka za Tanzania kuzingatia maridhiano, msingi wa mfumo wa vyama vingi na misingi ya kesi ya haki pamoja na Utawala wa Sheria.
Zaidi https://t.co/C9deECD9Ta
#JamiiForums #Diplomasia #Demokrasia
DAR: Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (#TANAPA), Massana Mwishawa amesema hayo Novemba 10, 2026 wakati akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari.
Zaidi https://t.co/1JxKwztpQq
#JamiiForums#Utawala#JFMatukio
SHINYANGA: Akizungumza na Wananchi wa Usanda, Jimbo la Itwangi, mnamo Novemba 10, 2026, Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watumishi wa Umma kubadilisha mtazamo na kuwahudumia Wananchi kwa weledi.
Zaidi https://t.co/OiO2Nw2C7R
#JamiiForums#Uwajibikaji
Novemba 10,2026, Mdau wa https://t.co/dDd21Ugmlv aliandika "Mfumo wa Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuwapanga Madaktari Watarajali unatukwamisha, Serikali iingilie kati haraka pia kuna Watu wanapangiwa vituo kwa upendeleo."
Kuhusu kinachoendelea, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Alex Elifuraha Msoka amesema “Lengo la mashauriano haya ni kuhakikisha kunapatikana utaratibu ulio wazi, unaozingatia haki, uwazi na maslahi ya Madaktari Watarajali na mustakabali wa taaluma ya Udaktari.”
Fuatilia Mjadala https://t.co/6vlWJU2YKZ
#JamiiForums #JFMdau2026 #Uwajibikaji
SINGIDA: Mkurugenzi wa taasisi ya The Women Wake Up Foundation, Dkt. Veronica Alexander, amesema hayo Novemba 10, 2026, alipokuwa akizungumza katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Zaidi https://t.co/P2bs8TZSkR
#JamiiForums#Utawala
SINGIDA: Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (#TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Novemba 10, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika mazishi ya Alute Mughwai Lissu, kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Soma https://t.co/ugUkPhIKoF
#JamiiForums #Sheria
DRC: Hukumu hiyo inakuja mwezi mmoja baada ya Mahakama nyingine ya Kijeshi kuwahukumu Wanajeshi 27 adhabu ya kifo kwa kosa la kuondoka katika mstari wa mbele wakati wa mapigano dhidi ya Waasi wa AFC/M23.
Zaidi https://t.co/KuK23fCIfC
#JamiiForums#Sheria#Governance
Msanii mkongwe wa Marekani na Mfanyabiashara, Akon, katika mahojiano aliyofanya na REVOLT, Agosti 31, 2023, alieleza namna mifumo ya Serikali nchi nyingi za Afrika imejengwa kwa kufanya Wananchi kuwa tegemezi.
Alisisitiza kuwa Serikali zinapaswa kujikita katika kuweka Sheria na kusimamia utekelezaji badala ya kuwa kikwazo kwa Wajasiriamali, huku zikijenga Mifumo imara inayorahisisha upatikanaji wa huduma kwa Wananchi.
Zaidi https://t.co/j2sM0jR1Uk
#JamiiForums #Governance