QHSE Specialist| Consultant| Fundi| Hodophile| I'm Not here to impress you| I can fulfill your deepest desires| Universe's last born๐ค๐ฝ| Smooth Lover
Unaweza kujikuta unabishana na mtu katoka kupewa simu this e/end venye amerudi kutoka shule..
And I can promise you, these kid make the most hilarious comments/observations just for ragebaiting.. ๐คง๐คง
Kidogo siku nibebwe Dodoma pale.. I had to declare Mimi ni safety officer na I have nothing to do with where the money went.. department yangu haishiki hela ya mradi..
Ilikuwa tunaenda kulala rumande that day.. serikali walikuja kuulizia hela zao zimefanya nini na mkandarasi anaruka ruka kama popcorn ๐๐๐
Unampa msichana wa watu ujauzito unaukataa, binti anafikia kujifungua anajifungua salama bado umekaza humtaki, baada ya siku chache binti wa watu anafariki anaacha mtoto mchanga! Sijui unajiskiaje huko ulipo ๐ฅน๐ฅน
@JamadiHatibu Watu tu Huwa tunakurupuka bila kucheki faida na hasara za Kila upande.. Kuna saa biashara pasua kichwa, Kuna saa kazi pasua kichwa.. Kuna saa unakula maisha vizuri tu..
Mi nawaambiaga watu, riggers.. mechanics etc sio watu wa kupigana nao.. mtu ana very strong upper body, akikuweka ngumi hunyanyuki and they don't do gym.. kazi zao tu gym session tosha..
Why would you provoke them ๐คง๐คง
If you are sure that he is the father, DNA test shouldn't bother you at all.. it's like when the traffic police pulls you and asks for your licence and registration..
But if something is up, you are going to wiggle..