M-Wekeza moja ya huduma bora kuwahi tokea Tanzania.
Interest 10%(kwa wakati huu) sio haba wazee! Ukizingatia hela yako unaweza kuitoa muda wowote mbwa akila mbwa
@graciengenda Kwenye android huwezi turn off lugha zote kwa mara moja, mfano hapa grok imetafsiri swahili kama slovenian, ukiturn off baadae itatafsiri kama lugha nyingine. Yaani haijui kiswahili kama ni lugha ni vuru vuru tu 😂