Kipekee nikushukuru sana @FxHotnigga kwa kusupport harakati za mgonga ulimbo.
Ninakuombea kwa Mwenyezi Mungu ulipotoa pakajazilizwe zaidi.
Sisi kama vijana bado tuna safari ndefu sana na kila support inathaminiwa kwa wivu mkubwa.
Karibuni sana mkulima wine๐ท
Kuna kipindi niliwahi weka status picha ya manzi na emoji ya kopa aisee.
Baada ya kuweka status Wana wawili wakasema washapiga ๐ .
Nilitokwa na jasho jingi sana, kwa uthibitisho walinitumia hadi chatting.
Nachoshukuru walimjaza namimi nilipiga.
Huo ujinga sitakaa nirudie tena
Kama mpenzi wako umemchoka na umempatia mtandaoni hasa X unataka ujue nyenendo zake, wewe mpost tu halafu achilia koment uone.
Atajikataa mwenyewe - maana utaambiwa hadi alikatwa Kipindi kile anatafutiwa followers ๐ .
Humu unaweza jikuta mkali kumbe wakali wapo kimyakimya.
Mpambanaji, mafanikio halisi hayapimwi kwa kulinganisha mafanikio yako na ya mwingine bali kwa maendeleo unayoyafanya wewe mwenyewe. Badala ya kushindana na wengine angalia ulitoka wapi na unaelekea wapi. Kujilinganisha na wengine ni kujiibia furaha yako.
Wewe unamiaka 21 na bado unakaa kwenu unasubria ule mama akipika.
Mdogo wangu wa mwisho wa kike anamiaka 24, sasa convincing power utaitolea wapi? Ili Uwe shemeji yangu.
๐๐