@madukwapeter@tutla7 Suala la kumaliza miradi kwa wakati, tatizo hua ni funding..kwanini hawapewi uwezo hata kukopeshwa wamalize miradi, wenzetu china wanakopeshwa na serikali
An ellipsoid provides the mathematical model of the Earth's shape such as semi-major axis and flattening , while a datum or geodetic reference framework establishes how that ellipsoid is positioned, oriented and scale relative to the Earth.
Precision in every coordinate.
@KennedyMmari Kenny sababu hapo kubwa ni mitaji, wabongo nadhani ni moja ya watu honest na waoga sana ikija kwenye suala la intergrity, serikali tu iwe na nia ya dhati ya kuwawezesha wakandarasi wake wa ndani, mambo wanayoweza kuyafanya wabongo ni makubwa sana,Capability inajengwa, wasaidiwe