- Community Pharmacist
- Health Systems Advocate
- The Silent Pharmacovigilante
- Global Health Research Advocate
- Bsc Clinical Nutrition and Dietetics
Hadi Leo wazazi/wanafunzi wengi wanajua muhandisi (engineer) ni yule anayefanya kazi za ujenzi wa barabara pekee. Wengi wetu tulipofika chuo ndio tulijua Kumbe kuna wahandisi wa aina nyingi. Hata kwenye taaluma nyingine, bado watoto wanaingia Chuo wakiwa hawana taarifa za sahihi/kutosha.