@RKishaija@fellu__ Iโm not a Gaddafi defender๐ , Iโm just saying kuwa yeye na PK wote ni benevolent dictators, ni ngumu kumtetea PK halafu hapo hapo ukamkandia Gaddafiโฆ
@ndoro_j@MaxTz255_ Well, it works for her and she has been doing it for years, Mimi nani niingilie maisha ya watu๐
Ila mambo ya kuomba msamaha hata mimi siwezi, kama nimekosa niandikie fine nisepe, kama umenibambikizia kosa panachimbika๐
@RKishaija@fellu__ I mean, Libya is about 97% Muslim. Islam has been part of their culture and traditions for generations, so why would he adopt the system of the very people he viewed as oppressors?โฆ pia Iโd argue hata PK haja set hizo secular functional institutions, akifa ndo tutajua!
@Mct0258T@ThatBoyKhalifax Objection. Hayo maadili yanayo tokana na โhofu ya Munguโ yameletwa na Waarabu na Wamissionari. Utamaduni hasa wa mtanzania umepotea na ukamezwa na utamaduni wa dini ambazo hazikuwa asili yetu.
Pichani: Couple ya kisambaa 1890โs
@nchi_kwanza@ThatBoyKhalifax Wajerumani ndio walituunganisha kama nchi, wao walipokuja walikuta kuna Wasambaa, Wachagga, Wahehe, Wasukuma etc. Kila kabila lilikuwa ni kama Dola inayo jitegemea. Na waliona kabila lingine ni outsider, hapakuwa na identity ya nchi. Wewe taifa lipi unalizungumzia?
@ThatBoyKhalifax Swadakta, kiongozi wa secular country inabidi azungumzie utii wa sheria na katiba, sio nidhamu wala maadili, hiyo ni kazi ya viongozi wa dini.