No matter what other things you do,never lose focus on the ball,the aim is always to score big time.
The pitch may be too rough but train your mind to win.
It's easy to win if you set your mind right.
May God bless our hustles.
Good morning fam.
Don't expect too much from people,remember that we are not perfect so everyone us not complete.
Take disappointments as a part of life so that if it appears you be cool.
You got yourself first before anybody else,people come and go,life is a journey anyway.
Good morning fam.
Kuna watu uwepo wako tu ni chukizo kwao yani kabla hujafanya looted,usiumie moyo wala usiumize kichwa kwanini unachukiwa na baadhi ya watu,wacha maisha yaendelee.
Chuki ni hisia hasi za mapenzi,ukiona kupendwa ni haki yako basi kuchukiwa ni hivyo pia.
Good morning fam.
Wanaume uchawi upo jibu ni "NDIYO".
Mwaka X nilipata msiba wa mjomba angu,huko kijijin.
Sikuweza kufika kutokana na umbali wa mkoa ambao nilikuwa naishi.
Nililia machozi na kumuomba Mungu awalinde watoto wake vyema.
Leo nimekaa chini napokea simu kuwa anko alikufa kwasababu
Kwa sasa wanawake wengi wanafirahia zaidi harusi kuliko maisha ya ndoa wengi wanaingia kwenye ndoa kwa sababu ya harusi
Ukikutana nawanamke wa namna hio brother kimbia mbio ndefu mwanamke anafaa afurahie ndoa na sio harusi @prossoff
Wanangu mnaupiga mwingi sana sema kuhusu hii ishu naimani muda utafika wanangu...
Sisi tunapanga ila MUNGU anaamua zaidi nadhani tulipo sio pabaya na tunapokwenda sio mbali...
MUDA UTAAMUA, ILA KATIKA HILI TUACHE LIPITE....
Maana hata kikifanyika kitu, mahali nilipo ni kijijini ndani ndani huku,sitoweza kufika mjini JOBLESS mimi 🙏🏾🤝🏽
Baada ya kuhitimu chuo mwaka 2023, nilianza hustle kama chinga wa mtaani, nadaka nguo naingia mtaani kuuza.
Lakini Leo namshukuru Mungu kwa kuweza kufungua goli kama mnavyoliona na hizo ndio nguo zilizomo.
Naamini nina ndoto kubwa lakini nina changamoto ya mtaji mdogo.
Kwa
Jamaa anaandika madini sana humu X ambayo yanahitaji fikra na si kukurupuka🤝
Humu X kupata likes nyingi kwa kupost maandishi yasiyo na picha tena positivity ni inaonesha jinsi gani watu wanakufuatilia🔥🙌
Kulingana na saikolojia,
mtu akijua alikutendea vibaya, anakuepuka. Inaitwa dhamiri yenye hatia.
Wanakosa ukomavu wa kuomba msamaha kwa matendo yao ya kutokuheshimu, na kwa sababu hawana uwajibikaji, wanajiondoa tu kutoka kwenye maisha yako.
Kuna huyu mwanamke akija kwako;
1. Mkiamka anatandika
2. Ataandaa breakfast
3. Atanotice mapungufu na kufanyia kazi especially usafi wa vitu
Na kuna huyu;
1. Mkiamka yuko na simu
2. Chakula anataka uagize
3. Kila kitu kinaachwa kilivyokutwa au worse
Tumia kichwa kikubwa🤝🏽
“Aziz Ki ni moja ya wachezaji bora wa muda wote kucheza Ligi hii .
Kurudi kwake yanga ndio kunakamilisha ule msemo wangu yanga atakuwa Bingwa Mara 10.
Ahsante Ghaleb Ahsante GSM ” Haji Manara .
Kuna kipindi utaamini maumivu uliyonayo ndiyo yatakuwa sehemu ya maisha yako milele.
Utaendelea kuishi nayo.
Utaendelea kuyaficha.
Utaendelea kusema uko sawa.
Mpaka siku Mungu atakapobadilisha kila kitu.
Atakupa amani ambayo hukuijua.
Atakupa nguvu ambayo hukudhani unayo.
Na hapo ndipo utaelewa…
Mungu hakukuweka kwenye maumivu ili ubaki humo. Alikupitisha humo ili ukue .
Baada ya miaka mingi pamoja…
Unaacha kumwona kama boyfriend au girlfriend tu.
Anakuwa sehemu ya ratiba yako.
Sehemu ya maamuzi yako.
Sehemu ya future yako.
Ndiyo maana akiondoka…
Sio moyo tu unaoumia.
Maisha yote yanahitaji kuanza kujipanga upya.
Kama umepelekwa TAMISEMI, jambo la kwanza usifanye ni kutafuta transfer.
Tumia miezi 3 ya kwanza kujifunza kuhusu hilo eneo.
Usikimbilie biashara.
Kwanza angalia pesa inavyozunguka.
Nini kinazalishwa?
Nini kinauzwa?
Nini kinatoka nje ya eneo?
Na watu wanalazimika kusafiri kununua nini?
👇🏼
Bored and scrolling again? try one of these instead:
1. go on a walk with no headphones
2. clean one drawer you’ve been avoiding
3. text the friend you always say you’ll call
4. do 25 sit-ups and immediately regret it
5. put on a song and actually dance
6. open the book collecting dust
7. make a weird snack you’ve never tried
8. write three lines about whatever’s in your head
9. plan something small for this weekend
10. take a 20-minute power nap
11. listen to an album start to finish
12. FaceTime someone you miss
13. learn how to do one simple thing on YouTube
14. do a puzzle (or start one)
15. write a short poem no one has to see
16. cook something for someone else
17. stretch or do 10 minutes of yoga
18. make a tiny list of things you’re looking forward to
19. help a friend with something small
20. just sit outside for 10 minutes and do nothing
what’s your usual move when boredom hits?
Real talk… these are the 5 muscles women actually notice and love the most:
• Biceps – That solid peak when you flex or just wear a tee. Simple but effective.
• Shoulders – Wide, rounded delts that make your upper body look strong and athletic.
• Chest – A full, thick chest that fills out a shirt properly. Instant presence.
• Traps – Thick traps give that rugged, powerful look from the side and back.
• Abs – Clean, defined abs. Still the classic that never fails to catch attention.
Train these hard and the difference shows. Which one’s your strongest right now?
Ejaculating too much will quietly fuck up your life.
It makes you:
- too lazy to actually chase real women
- weak when it’s time to perform for real
- lose that hunger to win
- sit alone while other men are out building something
- scared of rejection because fantasy never says no
- waste your best years in a dark room
- choose pixels over real intimacy
- lose respect for yourself without even noticing
- watch life happen instead of living it
- realize too late that you trained your brain to settle for less
Cheap pleasure trains a man to live a cheap life.