Ukikaa na kuwaza utagundua tangu Ile siku wazazi wako walipokununulia uniform na kukupeleka shuleni haujawai kupumzika hadi leo.Wewe ni wakuamka mapema na kuwaza namna utasurvive kwenye huu ulimwengu.
Kumekucha tena tukaendeleze gurudumu la mahangaiko ๐ค๐ฟ๐ค๐ฟ
#GOODMORNฤฐNG
Bwana, nakushukuru kwa siku hii ya leo.
Nakushukuru kwa pumzi yangu, afya yangu, na baraka zote ulizonipa.
Nakuabudu kwa sababu wewe ndiye chanzo cha maisha yangu na kila jambo jema linalonifika.
Msaada wako ni mpya kila asubuhi.
Asante kwa kunilinda na kunibariki.โ
Good Morning ladies and Gentlemen๐