Single mother Mtanijibu Hii and bro's nahitaji maoni yenu๐ฅบ๐ช.
Mwaka jana nikiwa ndio kwanza mgeni kwenye jiji X kuna binti wa "KIMBURU",nilitokea kumpenda sana.
Binti alikuwa na ujauzito wa miezi 4 na baba wa mtoto alikimbia.
Kutokana na hali ya kumjali kumheshimu na kumpenda,nikachukua jukumu la kumsaidia kama mke wa watoto wangu.
Mungu si athumani miezi 5 mbele binti yule alijifungua salama,akiwa na mtoto wa kiume.
kitendo cha kuchukua jukumu la kulea mimba yake,kumjali haikutosha binti alitoa kauli moja Tu kuwa " STEVE"niache sikutaki.
Hiki kipindi kilikuwa kigumu na "unforgettable"kwenye maisha yangu.
Leo hii july karudi tena na anataka msaada wangu,je?Bullying na kumsema vibaya ntakuwa nimekosea kwake!.
Hii imekaaje X family drop maoni yako!.
Ukweli ni Kwamba mwanamke wako anaweza kukutumia wewe Message โUsiku mwemaโ na akamtumia Message mwanaume mwingine kuwa โLeo Nimeshindwa kulala kabisaโ.!!๐๐
Weekend is weekending ukitumia @twenderide kwenye safari zako.
Furahia Gharama nafuu za usafiri,Usalama wa safari uki-Rikwesti na TwendeRide.
Pakua sasa Twende Ride App na wewe uenjoy safari zako bila stress!
Safari sasa zimekuwa rahisi zaidi kwa huduma ya usafiri iliyo salama, ya haraka, na yenye gharama nafuu.
Pakua Twende Ride App kupitia link hii na upate punguzo la hadi 20% kwa safari zako kuanzia Jumanne hadi Ijumaa.
https://t.co/l9PzJBfbOY
Je Kati ya Serikali na Wananchi nani anapaswa kuwa na Mamlaka?
Sifikiri kama katika uongozi wetu tuna wasomi wakueleweka, wanaosoma na kuelewa. Pamoja na ubovu wa Katiba tuliyonayo, bado misingi yake ni ya wazi. Cha kusikitisha: viongozi wengi hawaielewi!
Humu watu wana pesa sana na unapaswa kuheshimu kila mtu,,jana nilikua nachungulia space kuna watu wamekaa pale masaa 4.kila day unaona anapost na anashiriki zile challenge za watu wenye maisha ghali .
Wanetu pesa mnatoa wapi? Na kazi mnafanya sangapi.