Mwezi mmoja wa twende💚
👥 Watumiaji 6000+
🚘 Madereva 3000+
🚗 Safari 1000+
Rekwesti twende ukiwa Dar es Salaam, kuna ofa ya hadi 20% ukitumia Promo Code ya TWENDE PAMOJA.
Kumbuka dereva una keep 100% ya faida yote! #twendepamoja
Mylove, @JohnieZeBest
Happy Birthday Babaa🥰❤️.You are my ROCK.
Today I celebrate you and all that you do for me and for "US"❤️.
Against all odds,Upendo umeshinda tena, I am honored to have you in our life.❤️
I am glad I replied that DM🤭😉🥰
Mwaah🥰
Kila safari unayochukua na @twenderide si usafiri tu ni mchango wako katika kujenga uchumi wa wazawa.
Bei nafuu kwa mteja, maslahi bora kwa dereva, na huduma inayokujali kila hatua ya safari.
Chagua Twende Ride. Safari yenye thamani kwa kila Mtanzania.
#TwendePamoja
Nimempigia simu jamaa yangu mmoja dereva bajaji, nikamuuliza week yake ya kwanza na @twenderide imekuaje akanijibu fasta na kwa sauti ya juu“SIO MANENO TU BROO! WATU WANALIPWA“
Mwisho wa mwezi ndio muda sahihi wa kufanya shopping za groceries ikiwemo proteins za kutosha Kama samaki.
Kabla hujainywa hela yote 😃
Tupigie kwa mahitaji ya samaki fresh, na wa kukaanga kutoka Ziwa Victoria.
0762344677