SGR haijaja kuwa mbadala wa Mabus.
Kibiashara lazima SGR iwepo na Mabus yawepo.
Usafiri wa Anga upo
Usafiri wa Trein
Usafiri wa Mabus
Kila usafiri unafanya shughuli zake bila kuathiri mwingine na kila usafiri una watu wa hadhi yake!
@MalkiaTabasamu Malipo ya mtu wa dukani ni maelewano yenu lakini unapaswa kufahamu kuna bei yako elekezi ya vifaa ambayo wakati mwingine madogo wanawapandishia kdg bei wateja ili na wao wapate chochote,sio wateja wote wanafahamu bei na pia bei zinatofautiana kulingana na eneo
Somo kwa Wafanya biashara wa mtandaoni .
Usijihusishe kwenye mijadara ya pande mbili tofauti kaa kati au kuwa kama watchdog
Fanya Matangazo ya bidhaa zako na Tangazo linatakiwa kuwa clear na simple kueleweka
Engage politely na watu 😆
Jamani Huduma nnazo toa ni pamoja na
Kufanya Mambo ya Excel
Power bi pamoja na Knime
Ukipata hii kitu nipe nije kukusaidia popote niapate hata pesa kidogo 😊
Leo nimeiona Nguvu ya X ile post yangu nimesema me ni Mkali wa EXCEL Imenipa laki Moja na Nusu Baada ya kupewa deal kwenda kumsaidia @MchiziWang Ku fanya kitu kinaitwa BUDGETING
Nilifika pale akanipa kazi akanielekeza kidogo chap nikapiga kazi yake
Anafollowers chini ya 100 ndo maana me napenda acc changa zimenyooka sana asee 🤗😊
Wazanzibar naona watu wanawafanya punching bag ya matatizo ya hii nchi ambayo serikali yake imekua ikiundwa 95% na waTanganyika toka Muungano.
Sijawahi kuelewa hii reasoning .
Tena ukiangalia vizuri Zanj tumewasumbua sana kwa maamuzi mengi kutoka bara yasiyowafaidisha.
Mtu anayefanya mishe kama ufundi, kuuza samaki au bodaboda ana uwezo wa kuacha sh 15,000 kama pesa ya matumizi kila siku.
Lakini ukimwambia mwajiriwa mwenye degree aache hiyo 15k kila siku hawezi kabisa.
Cha ajabu wanaolalamika ni hawa ambao wanaweza kuacha 15k kila siku
@FarahOm91196252 Ukiona hivyo ujue kesi yenyewe inaweza kupelekwa huko na huko lakini mtu hawezi kujiamlia kuipa mamlaka mahakama fulani au jaji fulani kusikiliza kesi yake, mamlaka(jurisdiction) zipo kisheria na kuna factors zinazo determine hii kesi iende mahakama hii au iende mahakama hii
@abelsima45@TikantuK Mbona kama hiyo ni nafuu kwa sisi wananchi wa chini ambao kuna kipindi tulikuwa tunanunua maji ya kandoro ambayo siyo salama,kama bei zitakuwa kubwa ili tu kuwalinda wenye viwanda vidogo,vipi na wanunuzi ambao wana kipato kidogo