Mmenikasirikia kisa niliwauza 🥲jaman mna roho mbaya sana nyie,sasa mlitaka niuze nn ,au mlitaka niwaombe hela humu ili baadae muitumie kama silaha.
Poleni basi🥹🥲
Wa Sleepover Msisahau SOSEJI Ni Tisa, MAYAI Ni Saba, Mchana Ka Unaweza Kula Ka Kiwavi.Sasa We Kajidai Unajua Kufua Na Kuosha MABATI Majirani Wanakuchora Tu 🤭