Sababu Zilizofanya Kampuni Iliyosajiliwa Falme za Kiarabu na Rostam Aziz Kuweza Kununua Kampuni ya Gesi Tanzania Kwa Shilingi 26,000 (Tsh. 26,000)
Mnamo Aprili 13, 2026, kampuni ya Orca Energy iliyoendesha vitalu vya gesi vya Songosongo kwa takribani miaka 25 ilitangaza kuwa imefikia uamuzi wa kuuza biashara yake ya gesi Tanzania kwa takribani dola kumi, ambayo ni sawa na Shilingi 26,000 za kitanzania.
Kampuni hiyo ilitangaza kuwa wanunuzi ni ushirika wa wawili yaani kwanza kampuni ya Amber Energy Investment kutoka Falme za Kiarabu, ambayo ndio itakuwa mmiliki mkubwa kwa asilimia 51 ya hisa; mmiliki hasa wa kampuni hii hajawekwa wazi.
Mshirika wa pili ni Taifa Gas, kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz, ambaye atachukua asilimia 49 ya hisa. Kampuni hii kupitia kampuni zake za Pan African Energy Corporation (Mauritius) na PanAfrican Energy Tanzania (PAET) ndio mzalishaji mkubwa wa gesi inayotumika kwenye viwanda na umeme Tanzania.
Kati ya mwaka 2021 mpaka mwaka 2025 pekee kampuni hii inayoendesha visima kadhaa vya gesi katika eneo la Songosongo iliweza kupata mapato ya takribani dola milioni 513 ambazo ni sawa na Trilioni 1.3 za Kitanzania.
Sasa imekuwaje ‘mmiliki asiyefahamika’ na Rostam Aziz kuweza kununua kampuni hii kwa shilingi 26,000 pekee?
Soma zaidi>>>https://t.co/qtMTDX2hwl
@mhdhamad Kwanza anaetumia v8 hawezi lalamika mafuta ya tsh 29 tayari ni mtu mwenye uchumi mkubwa
Pili,,, hii tsh 29 kwasisi Maskini haijatusaidia kitu
@KINGLUDA18 Mtu alikua Katibu Mkuu anapanga mipango yote ya Uchaguzi mdogo na matokeo wanajua ilikuaje anamkaribisha
Watu watakosa Imani na kina Bwashee kama mwenzake DJ