Mzee Wa Miaka 90 , Mzee JOHN OUMA ODERO Akabidhi Kiwanja Bure Kwa Chadema Na Kuomba Kiwanja Hicho Kijengwe Kwa Kuipa Chama Hadhi Katika Kata Ya Nyathorogo Wilaya ya RORYA..
Kiwanja Hicho Kimepokelewa na Mwenyekiti Wa CHADEMA Mkoa Wa Mara Mwl Chacha Heche Akiwa Kwenye Ziara Yake ya Baraza la Uongozi Mkoa wa Mara, Mwenyekiti Amesisitiza Kiwanja Hicho Kitajengwa Kwa Haraka na Jina la Jengo Hilo Litapewa Jina La Mzee Huyo Mzee JOHN OUMA ODERO.
Kuporwa kwa uwanja wa michezo wa Sahara uliopo kata ya Mabibo, Ubungo—ambalo ni eneo la wazi la umma—ni uthibitisho tosha la jinsi wananchi wanavyokosa watetezi wa haki zao pale CHADEMA wanapokuwa nje ya vyombo vya maamuzi. Wananchi wa eneo hili sasa wapo hatarini kupoteza kabisa ardhi hii ya wazi ambayo wameitumia kwa miaka mingi kwa ajili ya michezo na shughuli za kijamii.
Mwenye video ya Ridhiwani akijitetea anamiliki heka moja tu Bagamoyo yeye sio tajiri, na wala hamiliki sheli za mafuta, Chura anasahau akumbushwe, Ridhiwani alipelekewa moto mno, na huo moto nadhani Abdul hajafikia,
Zitto kabwe na wenzake tuliwafukuza CHADEMA kwasababu walitengeneza njama basically kutengeneza chama ndani ya chama ili wafanye mapinduzi~ Mhe Lissu 2015
Hii ndio sababu ya vita ya nchimbi na Bimsumi
"Tunasherehekea kifo cha mtu aliyekua anatuumiza Dikteta Flani hivi, Mtu ambaye alikua na mazara makubwa kwa nchi yetu Ikitokea ameondoka, Siku aliyoondoka ndio siku ya Kusherehekea" -Balozi Emmanuel Nchimbi
#TutaelewanaTu
Sahihi chama akifai kuwa miliki ya MTU unaona hadi sasa ACT wanamilikiwa na zitto amestaafu bt mipango yote bado anaifanya Chadema wameweza kuvuka hapo hata Bila Lissu Chadema bado inasonga.
Tabia hii ya mwanaSIASA mmoja kumiliki watu/wafuasi ni hatari sana.
Hebu fikiria Mh Mbowe naye angekuwa kama Maalim Seif, sasa hivi CHADEMA isingekuwepo.
Tujenge na kuimarisha vyama/taasisi zetu. Tusijenge na kuimarisha watu wakawa kama Yesu au Mtume Mohamed SAW.