Jamaa hapa Dodoma alikuwa chinga wa kawaida Sana . Sasa akaona umri unaenda ngoja Aoe akaaamua kuvuta jiko . Siku Moja wakati Ndoa yake Ikiwa na miezi miwili , Alipokuwa bafuni kuogaalimsikia mke wake akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu Maneno ambayo Yalitoa Talaka👇👇
[Subiri Katika Yale Aliyoyakataza Allah Na Kuyaharamisha]
Anasema Al-Hasan Al-Baswrī [Allah Amrehem]:
الصبر صبران:
صبر عند مصيبة: حسن
وأفضل منه: الصبر عند ما نهاك الله عز وجل عنه
Subra Ziko Mbili
1. Subra Wakati Wa Kupata Matatizo: Hii Ni Nzuriiii
2. Na Bora Kuliko Hiyo; Subra [Katika Kujizuia] Na Yale Aliyoyakataza Allah Kutokamana Nayo
[صحيح]
[كتاب الزهد للإمام أحمد بن حنبل (٦٠)]