Mwanaume: Mshikaji yeyote ambaye anakuungaisha kwenye jambo ambalo litakupa pesa huyo ni familia yako kabisa. Usimuachie na usimuangushe pale alipolitaja jina lako. Fanya kazi kwa weledi wa hali ya juu.
Swala 5 ni muhimu usiache swala, dharura ni mbili tu kusahau ama ukiwa umelala, uwe mgonjwa swali, uwe na huzuni swali, uwe na furaha swali. Hakuna excuse katika swala.