Enyi mlio amini! Bila shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi za shetani. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa. ( Quran 5:90 )
Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima. Wala hamuhimizani kulisha masikini. Na mnakula urithi ulaji wa pupa. Na mnapenda mali pendo la kupita kiasi. ( Surat Al-Fajr 17-20 )
Usiwadhanie kabisa wale wanao furahia kwa waliyo yafanya, na wakapenda kusifiwa kwa wasiyo yatenda, usiwadhanie watasalimika na adhabu. Yao wao ni adhabu chungu. ( Quran 3:188 )
Hakika wanafiki watakuwa katika tabaka ya chini motoni, wala hawatapata yeyote wa kuwanusuru. ( Quran 4:145 )
Hakika wema watakuwa katika neema. ( Quran 82:13 )
Ama mimi nimeamrishwa nimuambudu Mola Mlezi wa mji huu aliye ufanya ni mtakatifu, na ni vyake tu vitu vyote. Na nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu, wenye kunyenyekea. ....
Qari; Amir Husawi.
( Surat An-Naml 91-92 )
As we start a new week, let’s not forget the reality of this life. Nothing is permanent, this world is temporary, and our ultimate destination is the Hereafter. 🙏
Tunajilinda kwa #Allah kutokana na kudhulumu na kudhulumiwa, ufakiri na ukafiri. Tunajilinda pia kutokana na madeni makubwa na madogo, na matendo ya watu wa ( Kaumu Lut'i ) ushoga!
#Wanadamu
Je! Hawamtazami ngamia alivyo umbwa?
Na mbingu ilivyo inuliwa?
Na ardhi ilivyo tandazwa?
Basi kumbusha! Hakika wewe ni mkumbushaji. ( Surat Al-Ghaashiyah 17-19 )
Na tulimpa #Luqman hekima, tukamwambia: Mshukuru #Allah. Na Mwenye kushukuru basi hakika anashukuru kwa ajili ya manufaa ya nafsi yake. Na Mwenye kukufuru, basi #Allah ni Mkwasi Msifiwa. ( Quran 31:12 )
Na hakika tukishukuru zitadumu neema.
#Alhamdulillah
Amesema Hassan Al Basriy ( Allah marahamu ) Kuna mtu kama chakula! Haiwezekani kumkosa. Na kuna mwingine kama dawa, haitajiki ila baada ya muda. Na kuna mwingine kama #maradhi, ahitajiki, hatakikani kamwe.
Tumuombe #Allah asijalie kwetu kuwa katika watu wasio hitajika ktk jamii.