Millenials walikuwa wakiangalia movie za kutisha usiku mzima hawalali
Au wanasumbua wadogo zao wawape kampani🤣🤣💀
Wakiogopa kutokewa na yale waliyoyaona kwenye tv mamae🤣🤣🤣🤣💀
Leo nimeona garii Kali sana qmmk🔥🙌 nikatoa cm mfukoni nipige picha sijui jamaa kanionaje amepungiza mwendo 😎😄
Amenikaribia akashusha kioo ananiambia mdogo angu pambana sana mambo ya kawaida tu haya afu nikicheki age yake so mbalii sana namimi 🙌 watu mnawezaje🤔😊www
Unataka Mungu akupatie watu wema Wakati wewe mwenyewe mwizi, kibaka, tapeli, mchoyo sasa huoni hayo maombi ungeanza kumuomba Mungu akuondolee maovu yako ili uje upambanie uwe na watu wema.
" kijana wa kiume anakuwa katika prime yake ya kulomba katika age ya 18-28 , Kwa iyo mdogo wangu mzenji, jitahidi kut*mba t*mba sana katika iyo age range, sisi wengine tumeshakuwa wazee saivi , Kwaiyo vijana muzingatie hili" Excess 2026
Mwinshehe shahidi ✍🏽✍🏽
Kwa mara ya kwanza Jkt imewaita wanafunzi kutoka Visiwani. Wanzibar wengi jambo hili wamelipokea kwa mtazamo hasi wakisema suala hili sio la muungano kwani wao wana “Jkt” yao ambayo ni “JKU”
Wengine wameenda mbali na kudai kwao sio sawa watoto wa kike kuvaa kaptura na kuchanganywa na wanaume.